Tanzania imekuwa nchi ya mwisho East Africa kupitisha sheria kali ya kimataifa ya kuzuia madawa ya kuongeza nguvu kwenye michezo...Waziri wa Michezo, Nape Nnauye, amesema pamoja na kuchelewa kupitisha mswada huu lakini utasaidia sana nchi...Amesema madawa haya yanamadhara mengi sana kwa mwili wa binadamu kama vle wanawake kuota ndevu na kupata ugonjwa wa moyo...Bofya hapa upate habari zaidi.
0 Yorumlar